Kipimbwe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wapimbwe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kipimbwe imehesabiwa kuwa watu 29,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipimbwe iko katika kundi la M10.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipimbwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |