Zemba | ||
---|---|---|
Dhimba | ||
Inazungumzwa nchini | — | |
Ukanda | — | |
Jumla ya wazungumzaji | — | |
Familia ya lugha | Niger-Congo
| |
Misimbo ya lugha | ||
ISO 639-1 | None | |
ISO 639-2 | ||
ISO 639-3 | dhm | |
Note: This page may contain IPA phonetic symbols in Unicode. |
Kizemba (au Kidhimba) ni lugha ya Kibantu nchini Angola na Namibia inayozungumzwa na Wazemba. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kizemba nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 18,000. Pia kuna wasemaji 12,000 nchini Namibia (2009). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizemba iko katika kundi la R30.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kizemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |