Kristin Demann (alizaliwa 7 Aprili 1993) ni mchezaji wa soka nchini Ujerumani, kwa sasa anacheza kama beki wa timu 1. FC Köln akitokea timu ya wanawake ya Bayern Munich kwa mkopo.[1]
Alikuwa miongoni mwa wachezaji wa timu ya taifa chini ya umri wa miaka 19 ya Ujerumani na ilishinda michuano ya Ulaya mnamo mwaka 2011.[2]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kristin Demann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |