Londiani | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Kericho |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 44,953 |
Londiani ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Kericho.
Wakati wa sensa ya mwaka 2009, mji ulikuwa na wakazi 44,953[1].
Londiani ni kata ya Eneo bunge la Kipkelion Mashariki[2].
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Londiani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |