Manaka Matsukubo

Manaka Matsukubo

Manaka Matsukubo (alizaliwa 28 Julai 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya North Carolina Courage katika inayoshiriki ligi ya Wanawake ya (NWSL). Manaka alicheza timu ya taifa ya wanawake ya chini ya umri wa miaka 20 nchini Japan na kufanikiwa kuchukua Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 mnamo 2022. [1][2]

  1. "Courage acquire Japanese midfielder Manaka Matsukubo". North Carolina Courage.
  2. Needelman, Josh. "NWSL Challenge Cup MVP: Manaka Matsukubo makes history". Just Women's Sports.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manaka Matsukubo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.