Martha Carson (amezaliwa 19 Machi, 1921 – amefariki 16 Desemba, 2004), aliyezaliwa kama Irene Amburgey alikuwa mwimbaji wa muziki wa injili na country kutoka Marekani, aliyepata umaarufu mkubwa katika miaka ya 1950.[1][2]
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martha Carson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |