Mayu Funada

Mayu Funada (alizaliwa 9 Novemba 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya wanawake ya INAC Kobe Leonessa inayoshiriki ligi ya WE League.[1]


  1. "Scoresheet" (PDF). weleague.jp.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mayu Funada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.