Mayumi "Maz" Pacheco (alizaliwa 25 Agosti 1998 )[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama beki wa klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) . [3]
{{cite web}}
: Unknown parameter |dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maz Pacheco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |