Mbulelo V. Mzamane (amezaliwa 1948) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Pia ni mhadhiri na profesa wa fasihi. Ameandika hadithi na insha za uhakiki.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbulelo Mzamane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |