Mohamed El Amine Aouad

Mohamed El Amine Aouad (alizaliwa 20 Septemba 1984 jijini El Bayadh) ni mchezaji wa soka wa Algeria. Kwa sasa anacheza katika klabu ya ASM Oran katika Ligi Kuu ya Algeria (Algerian Ligue 2).

Tarehe 28 Juni 2009, Aouad alisaini mkataba wa miaka miwili na CR Belouizdad, akijiunga nao kwa uhamisho huru kutoka klabu ya Hatta Club ya Falme za Kiarabu.[1]

Tarehe 5 Julai 2016, Aouad alisaini mkataba wa miaka miwili na MC Oran baada ya kucheza na klabu hiyo katika misimu ya 2012-2014.[2]

  1. Aoued signe en attendant Mekehout Archived 2012-03-23 at the Wayback Machine - letempsdz.com
  2. Aouad 10e recrue - Le Soir d'Algérie

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed El Amine Aouad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.