Moïssala

Muonekano wa soko la Moïssala
Muonekano wa soko la Moïssala

Moïssala ni mji uliopo katika mkoa wa Mandoul nchini Chad.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 12,904 [1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Moïssala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.