Serge Mukoko Tonombe | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 6 Januari 1996 | |
Mahala pa kuzaliwa | Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Urefu | 1.76 m (5 ft 9 1⁄2 in) | |
Nafasi anayochezea | Kiungo Mkabaji | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Yanga Sc | |
Namba | 22 | |
Klabu za vijana | ||
Renaissance 2014-2018
AS Vita 2018-2020
| ||
Timu ya taifa | ||
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | ||
* Magoli alioshinda |
Serge Mukoko Tonombe (amezaliwa 6 Januari 1996) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mukoko Tonombe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |