Patsy Gallant

Patricia Gallant (alizaliwa Campbellton, New Brunswick, 15 Agosti, 1948) ni mwimbaji wa muziki wa pop na muigizaji wa tamthilia za muziki kutoka Kanada.[1] [2]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patsy Gallant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.