Paul Wilson (translator)

Paul Robert Wilson (alizaliwa Hamilton, Ontario 3 Julai, 1941) ni mtafsiri na mwandishi wa Kanada. Mwaka 1967 alihamia Czechoslovakia ambapo alifanya kazi kama mwimbaji wa The Plastic People of the Universe. Kwa sababu alikuwa mwanachama wa kikundi hiki, alifukuzwa kutoka Czechoslovakia mwaka 1977.[1][2]


  1. Vaughan, David (23 Juni 2012). "Paul Wilson's Bohemian Rhapsodies". Radio.cz. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Interview with Translator Paul Wilson". wilmatheater.org. 22 Aprili 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-10. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Wilson (translator) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.