Petro wa Arbues, C.R.S.A. (Epila, Aragon, Hispania, 1441 hivi - Zaragoza, 17 Septemba 1485[1]) alikuwa padri kanoni[2] aliyeuawa kanisani mbele ya altare na watu aliokuwa anawachunguza kutokana na kazi aliyoagizwa ya kuzuia uzushi na ushirikina [3][4].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Aleksanda VII tarehe 20 Aprili 1664, halafu mtakatifu mfiadini na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867[5].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Septemba[6].
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |