Pius Segmüller

Pius Segmüller (amezaliwa 8 Machi 1952) ni mwanasiasa wa Uswizi na kamanda wa zamani wa Walinzi wa Uswizi katika Jiji la Vatikani (1998-2002).

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pius Segmüller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.