Rana Abdelhamid ( Kiarabu : رنا عبد الحميد; alizaliwa 6 Mei, 1993) [1] ni mgombeaji wa siasa na mwanaharakati wa nchini Marekani. Anaishi Queens, New York . Abdelhamid pia ni mwanzilishi wa Hijabis ya New York na mpango wa wanawake kujiwezesha.
Abdelhamid ana asili ya Misri na alikulia New York. [2] [3] Ana kaka zake watatu. Alipokuwa mtoto, alisoma karate . [4] Abdelhamid alikua mwanasanaa wa karate ya shotokan. Ana mkanda mweusi katika karate ya Tai Chi na kama mwanafunzi aliwafunza wasichana wadogo karate ili kukabiliana na ghasia za ubaguzi wa ragi. [5]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rana Abdelhamid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |