Renae Nicole Cuéllar (24 Juni 1990) ni mchezaji wa soka wa Mexiko aliyezaliwa nchini Marekani na ambaye anacheza kama mshambuliaji kwenye Ligi ya MX katika klabu ya Femenil Tijuana na timu ya taifa ya Mexiko..[1]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Renae Nicole Cuéllar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |