Robert Akaruye (alizaliwa 28 Machi 1981) ni mchezaji wa zamani wa kandanda wa Nigeria. Hapo awali aliichezea klabu ya Sivasspor ya Uturuki na kuiwakilisha Nigeria katika hafla moja.
Akaruye ambaye ni Mshambulizi wa klabu ya Al Ahed alinusurika katika ajali mbaya ya gari kwenye barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa Beirut mnamo Jumatatu tarehe 14 Desemba 2009 .[1]
Akaruye Alicheza mechi yake ya pekee na timu ya taifa ya Nigeria ya kandanda tarehe 20 Juni 2004 mjini Luanda dhidi ya tim ya taifa ya Angola. [2]
Binafsi
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Akaruye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |