“Rock the Bells” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya LL Cool J kutoka katika albamu ya Radio | |||||
B-side | EL Shabazz | ||||
Imetolewa | 13 Septemba 1986 | ||||
Muundo | Vinyl Single | ||||
Imerekodiwa | 1985 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Urefu | 4:00 | ||||
Studio | Def Jam Recordings | ||||
Mtunzi | James Todd Smith | ||||
Mtayarishaji | Rick Rubin, LL Cool J | ||||
Mwenendo wa single za LL Cool J | |||||
|
Rock the Bells ni single ya tatu kutoka katika albamu ya kwanza ya LL Cool J, Radio. Ilitolewa mnamo mwaka wa 1985 na Def Jam Recordings. Ilitungwa na LL Cool J na kutayarishwa na Rick Rubin. Rock the Bells ilifikia kiwango cha #17 kwenye chati za Hot R&B/Hip-Hop Songs. Wimbo huu baadaye ukaja-kusampuliwa na yeye mwenye LL Cool J kwa ajili ya wimbo wake wa "Mama Said Knock You Out", kutoka katika albamu yake ya yenye jina sawa na la wimbo huo.
Eminem, DJ Jazzy Jeff na The Roots waliuimba wimbo huu wa “Rock The Bells” kwenye VH1 Hip Hop Honors ikiwa kama kuonyesha shukrani kwa Def Jam.