Rufino wa Asizi (alifariki Costano, karibu na Bastia Umbra, 238 au 239 BK) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa Assisi (Umbria, Italia ya Kati)[1].
Inasemekana alitokea Amasya, leo nchini Uturuki.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti.[2]
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |