Saima Wazed (Kibengali: সায়মা ওয়াজেদ; pia anajulikana kama Putul, Kibengali: পুতুল; alizaliwa 9 Desemba 1972)[1] ni binti wa waziri mkuu wa zamani wa Bangladesh, Hasina Wazed.[2] Tangu tarehe 1 Novemba 2023, anahudumu kama mkurugenzi wa kikanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa eneo la Kusini Mashariki mwa Asia.[3]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saima Wazed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |