Samantha Tierney (alizaliwa 8 Oktoba 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama kiungo wa kati au beki wa klabu ya Leicester City.[2]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sam Tierney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |