Alexandra Elena MacIver (alizaliwa 18 Juni 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu, ambae anacheza kama golikipa wakati wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uskoti kwa walio na umri chini ya miaka 23.[1][2]
{{cite web}}
: Unknown parameter |dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sandy MacIver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |