Shekhinah Thandi Donnell (alizaliwa 2 Oktoba, 1994), anajulikana kwa jina moja kama Shekhinah, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Durban, Afrika Kusini . Shekhinah alikuwa miongoni mwa washindi 32 bora wa msimu wa 7 wa mashindano ya SA Idols mwaka 2011 na miongoni mwa washindi 6 bora wa msimu wa 8 wa SA Idols mwaka 2012. [1]
Albamu yake ya kwanza ya Rose Gold ilitolewa mnamo Oktoba 2017 na kuthibitishwa kuwa na hadhi ya platinamu na RiSA manamo 31 Agosti 2018. [2] [3] [4] Rose Gold ilitoa nyimbo tatu za nambari moja zilizojulikana kama "Suited"; "Please Mr." na "Different".
Albamu yake ya pili ya Trouble In Paradise, ilitolewa Mei 2021.
Mnamo mwaka 2017, Shekinah alitoa wimbo wake wa kwanza "Suited", ambao ulishika nafasi ya 1 kwenye chati za muziki za Afrika Kusini na kuthibitishwa kwa plaque ya hadhi ya almasi na tasnia ya kurekodi ya Afrika Kusini (RiSA). [5] Mnamo 2018, "Please Mr" na "Different" zilitolewa mwaka huo huo, "Please Mr" iliidhinishwa na plaque ya hadhi ya dhahabu. [6]
Mnamo Oktoba 6, 2017, albamu yake ya kwanza ya Rose Gold ilitolewa nchini Afrika Kusini na Sony Music Entertainment Africa.
Mnamo Mei 7, 2021, albamu yake ya pili ya Trouble In Paradise ilitolewa nchini Afrika Kusini. [7] [8]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shekhinah (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |