Simone Ponte Ferraz (alizaliwa Machi 1990) ni mwanariadha wa Brazil aliyebobea kwenye mita 3000 ya kuruka vikwazo.[1] Alishinda medali mbili kwenye michuano ya Amerika kusini. Alishindana kwenye olimpiki ya majira ya joto 2020.[2]
Ubora wake kwenye tukio ni sekunde 9:45.15 huko Guayaquil mwaka 2021.
Nje
· Mita 800 – dakika 2:16.42 (Itajaí 2013)
· Mita 1500 – dakika 4:27.19 (Jaraguá 2018)
· Mita 3000 za kuruka vikwazo – dakika 9:45.15 (Guayaquil 2021)
· Mita 5000 – dakika 16:03.34 (Timbó 2021)
· Mita 10,000 – dakika 35:20.95 (Jaraguá 2019)
· Kilomita 10– dakika 36:37 (Porto Alegre 2017)
· Nusu marathoni –saa 1:20:36 (Rio de Janeiro 2019)
· Marathoni – saa 2:38:10 (Buenos Aires 2019)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simone Ferraz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |