Sister Fa

Sister Fa

Sister Fa (jina halisi Fatou Diatta, alizaliwa Dakar, Senegal, 1982)[1] ni rapa na mwanaharakati wa kupinga ukeketaji kutoka Senegal.[2][3]

  1. Mossman, Kate (16 February 2013). "Sister Fa: African rapper with a cause". The Guardian. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2016. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help)
  2. https://www.endfgm.eu/news-en-events/news/sister-fa-the-hip-hop-queen-against-fgm/
  3. https://sites.williams.edu/mus222-f13/sarah-victoria-roseman/sister-fa-senegalese-rapper/
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sister Fa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.