Stephane Aziz Ki, (alizaliwa nchini Ivory Coast, 6 Machi 1996) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya kiungo wa kati katika klabu yaYoung Africans S.C. inayocheza Ligi Kuu Tanzania Bara .[1] Anacheza pia kwa timu ya Taifa ya Burkina Faso.[2]
Aziz Ki ana asili ya Burkinabé. Alianza kuchezea Burkina Faso katika mechi ya kirafiki ambapo walipoteza 2-0 dhidi ya Morocco tarehe 24 Machi mwaka 2017.[3][4]
Januari mwaka 2017, alihamia Omonia, kutoka CD San Roque de Lepe. Akiwa na Omonia, Ki ameshiriki mara 13, ikiwa ni pamoja na kuanza mara saba.
Klabu | Msimu | Ligi | Kombe | Ulaya | Jumla | ||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mechi | Mabao | Mechi | Mabao | Mechi | Mabao | Mechi | Mabao | ||
- | - | - | - | - | - | - | - | San Roque | |
2015–16 | 24 | 2 | 0 | 0 | – | 24 | 2 | ||
Jumla | 24 | 2 | 0 | 0 | – | 24 | 2 | ||
Omonia | |||||||||
2016–17 | 13 | 0 | 2 | 0 | 0 | 0 | 2 | 1 | |
2017–18 | 5 | 0 | 0 | 0 | – | 5 | 0 | ||
Jumla | 18 | 0 | 2 | 0 | 0 | 0 | 20 | 0 | |
Jumla ya Kazi | 42 | 2 | 2 | 0 | 0 | 0 | 44 | 2 |
No. | Tarehe | Uwanja | Mpinzani | Alama | Matokeo | Mashindano |
---|---|---|---|---|---|---|
1. | 7 Juni 2022 | FNB Stadium, Johannesburg, Afrika Kusini | Eswatin | 3–1 | 3–1 | Mchujo wa Kombe la Mataifa ya Afrika ya 2023 |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stephane Aziz Ki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |