“Trapped” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya 2Pac featuring Shock G kutoka katika albamu ya 2Pacalypse Now | |||||
B-side | "The Lunatic" | ||||
Imetolewa | 25 Septemba 1991 | ||||
Muundo | 12" single | ||||
Imerekodiwa | 1991 | ||||
Aina | Political Rap | ||||
Urefu | 4:44 | ||||
Studio | Interscope | ||||
Mtunzi | T. Shakur | ||||
Mtayarishaji | Pee-Wee | ||||
Mwenendo wa single za 2Pac featuring Shock G | |||||
|
"Trapped" ni wimbo wa 2Pac ambao una-husu masuala ya ukatili unaofanywa na mapolisi. Ilikuwa single kutoka katika albamu yake ya kwanza, 2Pacalypse Now. Mstari wa kwanza inaenelezea hadithi ya 2Pac jinsi anavyo-bughudhiwa na maposili, na moja kati yao alishawahi kumtandika risasi Tupac. Halafu nayeye akamrudishia na kujitamba kwamba amefanya hivyo kwa sababu mademu wange-mdhihaki iwapo asingefanya hivyo. Kisha 2Pac anaonekana akikimbizwa na polisi na hatimaye wakamdaka. Wimbo unamaliza na mstari wa unaosema "I'd rather die then be trapped in the living hell", akimaanisha ya kwamba kama yangekumta, heri afe kuliko kuishia maisha ya jela..
Muziki wa video inamwonesha Shock G akiimba kiitikio cha wimbo huku akioneshwa 2Pac akiwa jela. Imeonekana kama wimbo wa ziada kwenye DVD ya Tupac: Resurrection.
Wimbo umechukua sampuli ya wimbo wa "Holy Ghost" wa Bar-Kays na "The Spank" ya James Brown
"Trapped" ilikuwepo kwenye albamu ya Vibao Vikali vya Tupac mnamo 1998.
A1 "Trapped" (LP Version) (4:50) Backing Vocals - Dank , Shock G , Wiz
Producer - Pee-Wee
A2 "Trapped" (Instrumental Mix) (5:26)
Producer - Pee-Wee
B1 "The Lunatic" (LP Version) (3:31)
Producer - Shock G
B2 "The Lunatic" (Instrumental Mix) (3:31)
Producer - Shock G