Tuy Sereivathana

Tuy Sereivathana (amezaliwa 1970) ni mwanamazingira kutoka Kamboja. Amefanya kazi kusuluhisha mizozo kati ya tembo na watu huko Kamboja. [1]

Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 2010.[2]

Mnamo 2011, alichaguliwa kama mshiriki wa programu ya National Geographic's Emerging Explorer Program.[3]

  1. https://wildearthallies.org/voices-vathana/
  2. "Tuy Sereivathana". Tuzo ya Mazingira ya Goldman. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Novemba 2010. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2010. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. National Geographic Society. "Tuy Sereivathana, Conservationist Emerging Explorer". Iliwekwa mnamo 2 Aprili 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)