Uwanja wa michezo wa Kashala Bonzola

Uwanja wa Kashala Bonzola ni uwanja wa michezo uliopo katika kitongoji cha Kanshi , Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uwanja huo ulikamilika mnamo mwaka 2016, na pia unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka). Utakuwa ukumbi mpya wa nyumbani wa SM Sanga Balende. Uwanja huo utakuwa na viti 10,000.[1] Uwanja huu unajumuisha michezo mingine ikiwemo karate, judo, ndondi, mpira wa wavu na mpira wa kikapu.[2]

  1. "Les chaises et la toiture du stade KASHALA BONZOLA sont arrivées à Mbujimayi". Kasai Direct. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-11. Iliwekwa mnamo 2021-06-11. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. "Mbuji-Mayi: les travaux de réhabilitation du stade Kashala Bonzola avancent vite". Radio Okapi.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kashala Bonzola kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.