Véronique Béliveau

Véronique Béliveau (awali akijulikana kama Nicole Monique, alizaliwa 24 Januari 1955) ni mwigizaji na mwimbaji wa pop kutoka Kanada ambaye aliteuliwa kwa Tuzo za Juno za 1987 kama Mwimbaji Bora wa Kike wa Mwaka.[1]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Véronique Béliveau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.