Vibeke Karlsen

Vibeke Karlsen (alizaliwa 1 Agosti, 1967) alikua mwamuzi wa mpira wa miguu wa nchini Norwei.

Alianza kazi ya uamuzi mwaka 1983, alikua mwamuzi wa shirikisho la soka la wanawake la Toppserien tangu mwaka 1992 na alikuwa mwamuzi wa FIFA kuanzia mwaka 1996 hadi 2004.

Alichezesha michuano ya kombe la Euro mwaka 1997 na michezo ya Olimpiki mwaka 2000. Karlsen anaishi katika mji wa Nesbru. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Vibeke Karlsen" (kwa Kinorwe). Norges Fotballdommerforening. 26 Februari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Oktoba 2011. Iliwekwa mnamo 13 Mei 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vibeke Karlsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.