Vivian Mensah

Vivian Mensah
Nchi Ghana
Kazi yake Mchezaji wa soka

Vivian Mensah (alizaliwa 13 Juni 1972) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ghana ambaye alicheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya Ghana. Alikuwa sehemu ya timu kwenye Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake la 1999.[1] Katika ngazi ya klabu anachezeatimu ya La Ladies ya Ghana.

  1. "FIFA Women's World Cup USA 1999 – Ghana". FIFA Women's World Cup United States 1999. FIFA. 1999. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 2, 2015. Iliwekwa mnamo 2007-09-28. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivian Mensah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.