Walking with a Panther | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||||||||
Studio album ya LL Cool J | |||||||||||
Imetolewa | 9 Juni 1989 | ||||||||||
Imerekodiwa | 1988–1989 | ||||||||||
Aina | Hip hop | ||||||||||
Urefu | 84:23 | ||||||||||
Lebo | Def Jam/Columbia/CBS Records CK 45172 |
||||||||||
Mtayarishaji | LL Cool J | ||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
|
|||||||||||
Wendo wa albamu za LL Cool J | |||||||||||
|
Walking with a Panther ni jina la kutaja albamu ya tatu ya msanii wa rap na mauzo ya juu katika muziki huu, LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1989, albamu ilifanikiwa sana kimauzo, ikiwa na single kadhaa zilizoweza kushika chati ("Going Back to Cali," "I'm That Type of Guy," "Jingling Baby," "Big-Ole Butt," na "One Shot at Love"). Albamu hii hata hivyo ilipatwa kukandiwa sana jumuia kibao cha muziki wa hip hop kwa kuwa sana kikommercial sana, mautundu mengi, na kukatazamia sana katika miondoko ya maballad ya kimapenzi mno.[1]
![]() |
Makala hii kuhusu albamu za hip hop bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |