Wayne Arendse

Wayne Earl Arendse (alizaliwa 25 Novemba 1984)[1], ni mchezaji beki aliyestaafu wa Afrika Kusini. Aliichezea Engen Santos kwa miaka sita kabla ya kujiunga na Mamelodi Sundowns Julai 2012.

  1. "FIFA Club World Cup Japan 2016: List of Players: Memelodi Sundowns" (PDF). FIFA. 14 Desemba 2016. uk. 6. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 1 Desemba 2017. Iliwekwa mnamo 2023-06-12. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wayne Arendse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.