Weldon Langat

Weldon Kipkirui Langat (alizaliwa 24 Februari 1998)[1] ni mwanariadha nchini Kenya wa mbio ndefu. [1] Alishiriki katika mbio za mita 10,000 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2020, na kumaliza katika nafasi ya 20 kwa muda wa 28:41.42.[2]

  1. IAAF wasifu wa Weldon Langat
  2. "Weldon Langat".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Weldon Langat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.