Willi Resetarits

Willi huko Vienna, 2007

Wilhelm Resetarits (21 Desemba 1948 - 24 Aprili 2022), [1] anayejulikana zaidi kama Willi Resetarits na Ostbahn Kurti, alikuwa mwimbaji , mcheshi na mwanaharakati wa haki za binadamu wa Austria.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Willi Resetarits kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.