Willie Stewart

William S. Stewart (Coupar Angus, nchini Scotland, 11 Februari 1872 - 1945) alikua mchezaji wa mpira wa miguu. Alijiunga na timu ya mpira ya Manchester United F.C. Julai mnamo mwaka 1889 akitokea katika timu ya mpira ya Warwick County F.C. . [1]

  1. "William Stewart". westhamstats.info. Iliwekwa mnamo 16 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Willie Stewart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.