Maisha na malezi yake ya utotoni yalikuwa katika nchi na sehemu mbalimbali kama vile Uingereza, Yemen, Ugiriki na Cyprus kabla ya kuishi nchini Kanada mwaka 1985.[6]
Kama kijana, alisoma Western Canada High School iliyopo Albert, nchini Kanada. Alikuwa katika timu ya shule ya mpira wa kikapu na alikuwa na matamanio ya kuwa nyota wa mchezo wa kikapu. Muluneh alianza kazi ya upigaji picha akiwa shuleni ila hakuitazamia ya kuwa ndiyo itakayokuwa kazi yake. Babu yake alipomtembelea na kujionea kipaji cha Muluneh, alimshauri kuendeleza kipaji chake katika Sanaa hiyo na aichukulie kama kazi na siyo fani ya mafurahisho.
Baada ya masomo yake, alifanya kazi katika shirika la Washington Post kama mwandishi wa Habari wa picha na tangu kipindi hicho, kazi zake zilionekana katika machapisho mengi.[7]
Muluneh hutumia rangi za msingi katika Sanaa yake ya upigaji picha. Rangi za mkolezo za bluu, manjano na nyekundu zilionekana kwa mbali katika michoro yake. Rangi hizo za msingi huakisi rangi za kuta za kanisa huko Ethiopia.[8]
Muluneh alisema kuwa, "kazi yake huanza na mchoro, na huifikia kila mchoro kama utengenezaji wa filamu ambapo uhusika, staili, mwanga na usanifu hutumika pamoja," alisema hayo katika usaili kwa njia ya barua pepe. "
2010: Mshindi was tuzo ya mpigaji picha wa kimataifa, Centro di Ricerca e Archiviazione della Fotografia (CRAF), Spilimbergo Fotografia, Italy.[2][4][9]
8th International Open, Woman Made Gallery, Chicago, IL, 2005
Body of Evidence (Selections from the Contemporary African Art Collection), National Museum of African Art, Smithsonian Institution, Washington, DC, 2006
Always Moving Forward, Gallery 44 Centre for Contemporary Photography, Toronto, ON, 2010
The Divine Comedy - Heaven, Purgatory And Hell Revisited By Contemporary African Artists, Museum für Moderne Kunst|Museum für Moderne Kunst (MMK), Frankfurt/Main, 2014; SCAD Museum of Art, Savannah, GA
1:54 Contemporary African Art Fair, David Krut Projects Booth, Brooklyn, New York, 2016
I love Africa, Festival La Gacilly-Baden Photo, Austria, 2018[4][11]
Being: New Photography, Museum of Modern Art|MoMA, New York City, 2018
↑ 4.04.14.2"Helen's Heroine - Aïda Muluneh". Royal Photographic Society. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Agosti 2018. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2018. {{cite news}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
↑"Aida Muluneh - VivianeArt". vivianeart.gallery. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-04. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
↑"Africa, Baden and Honorary Fellows". Royal Photographic Society. 2018-07-06. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-13. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2018. {{cite news}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aïda Muluneh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.