Allegretto Nuzi au Allegretto di Nuzio (1315–1373) alikuwa mchoraji wa Italia, aliyefanya kazi hasa Fabriano na kandokando yake, lakini pia Firenze[1].
Michoro yake ni hasa ya kidini kwa ajili ya makanisa.[2]
{{cite book}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) (see index; plate 28)Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Allegretto Nuzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |