Anil Joshi (28 Julai 1940 – 26 Februari 2025) alikuwa mshairi na mwandishi wa insha kutoka Gujarat, India, ambaye alitumia lugha ya Kigurujati. Alishinda Tuzo ya Sahitya Akademi ya Kigurujati mwaka 1990 kwa mkusanyiko wake wa insha uitwao Statue (1988). Kazi zake muhimu ni pamoja na Kadach (Mkusanyiko wa mashairi), Barafna Pankhi (1981 Mkusanyiko wa mashairi) na Pavan Ni Vyaspithe (1988 Mkusanyiko wa Insha). [1][2][3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anil R. Joshi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |