Bigger and Deffer | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||||||||
Studio album ya LL Cool J | |||||||||||
Imetolewa | 22 Julai 1987 | ||||||||||
Imerekodiwa | 1986-1987 Chung King House of Metal (New York City) |
||||||||||
Aina | New Wave, Hip hop, Rap rock, New jack swing | ||||||||||
Urefu | 45:13 | ||||||||||
Lebo | Def Jam/Columbia/CBS Records CK 40793 |
||||||||||
Mtayarishaji | L.A. Posse, DJ Pooh | ||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
|
|||||||||||
Wendo wa albamu za LL Cool J | |||||||||||
|
Bigger and Deffer (pia huitwa BAD au Bigger And Deffer) ni jina la albamu ya pili ya rapa LL Cool J ambayo inakumbukwa sana kwa kuwa na "rap ballad" iliyofanikiwa zaidi kibiashara, "I Need Love". Albamu pia imejumlisha single kali ya "Go Cut Creator Go", ambayo imetoa heshima kwa DJ wake, na single ilioyofanya vizuri huko nchini Uingereza "I'm Bad". Mnamo 1998, albamu ilichaguliwa kuwa kama moja kati ya Albamu Bora 100 za Rap za The Source, ambapo pia ilijipatia tahakiki mchanganyiko kibao kutoka kwa wengine. Picha ya kava ya mbele ya albamu ilipigwa mbele ya shule aliyokuwa akisoma LL Cool J, Andrew Jackson High School huko mjini Queens,[1]
Nyimbo zote zimetungwa na Simon/Ervin/Pierce/Smith, kasoro hizo zilizowekewa maelezo.
Miaka | Albamu | Nafasi ya chati | |
---|---|---|---|
Billboard 200 | Top R&B/Hip Hop Albums | ||
1987 | Bigger and Deffer | 3 | 1 |
Maelezo ya Single |
---|
"I'm Bad"
|
"I Need Love"
|
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bigger and Deffer kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |