“Bringin' On the Heartbreak” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Def Leppard | |||||
Muundo | Vinyl single | ||||
Aina | singles | ||||
Urefu | 4:34 | ||||
Mtunzi | Joe Elliott, Pete Willis, Steve Clark | ||||
Mtayarishaji | Robert John "Mutt" Lange | ||||
Mwenendo wa single za Def Leppard | |||||
|
“Bringin' On the Heartbreak (remix)” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Def Leppard | |||||
Muundo | Vinyl single | ||||
Aina | singles | ||||
Urefu | 4:34 | ||||
Studio | Mercury | ||||
Mtunzi | Joe Elliott, Pete Willis, Steve Clark | ||||
Mtayarishaji | Robert John "Mutt" Lange | ||||
Mwenendo wa single za Def Leppard | |||||
|
"Bringin' On the Heartbreak" ni wimbo ambao awali ulirekodiwa na bendi ya muziki wa hard rock ya Kiingereza ya Def Leppard. Ilikuwa single ya pili kutoka katika albamu yao ya mwaka wa 1981, High 'n' Dry. Wimbo ulitungwa na wanachama watatu wa bendi: Steve Clark, Pete Willis, na Joe Elliott. Mnamo mwaka wa 2002, wimbo ulirudiwa tena na mwimbaji pop/R&B wa Kimarekai Bi. Mariah Carey kwa ajili ya albamu yake ya Charmbracelet. Watathimini wengi wale waliopitia wimbo wa mwimbaji wa R&B - wanadai kwamba huu uliorudiwa ulikuwa mkali zaidi ya ule wa wakina Def Leppard.
Kundi la Def Leppard liliurudia wimbo huu kwa ajili ya albamu yao ya pili ya High 'n' Dry. Albamu hii ya High 'n' Dry ilitoka nchii Marekani tarehe 13 Novemba ikiwa na nyimbo kama vile "Me and My Wine" na "You Got Me Runnin'" . Albamu hii haikuwahi kuingia katika chati ya muziki ya Marekani. Lakini video ya albamu hii ilikuwa maarufu sana katika maeneo mengi, na hii ikasababiaha kuongezeka kwa mauzo na kufanikiwa kuuza hadi kiasi cha nakala milioni mbili. Nchini Mexico albamu hii ilitolewa na kuitwa "Llevarlo en la Desilusión" na "Yo y mi Vino" ("Me and My Wine").
Albamu ya High 'n' Dry uilitoka rasmi mwezi Mei mwaka 1984 ikiwa na nyimbo nyingine mpya mbili ambazo moja kati ya nyimbo hizo mpya ni wimbo wa "Bringin' On the Heartbreak". Akishirikiana na Phil Collen aliyekuwa anapiga jitaa. Wimbo huu baada ya kutoka kwa mara ya pili ulifanikiwa kushika nafasi 61 katika chati ya muziki ya Marekani ya Billboard Hot 100. Baadae Wimbo wa kwa wa aina hii ulikuja kujumishwa katika albamu yao Vault: Def Leppard Greatest Hits (1980–1995) (1995) Best of Def Leppard (2004) na Rock of Ages: The Definitive Collection iliyotoka mwaka (2005).
Video ya kwanza ya muziki huu, iliongozwa na Doug Smith na video hii ilirekodiwa wakti mwanamziki huyu alipokuwa akiimba moja kwa moja katika ukumbi wa maonesho ya sanaa wa Royal Court katika eneo la Livepool nchini Uingereza hii ikiwa ni tarehe 22 Julai 1981. Katika kurekodi video ya wimbo huu, kulikuwa na picha kutoka katika nyimbo za "Let It Go" na "High 'n' Dry") kutoka katika tamasha la Don Kirshner' lililofanyika nchini Marekani [1] The second music video, directed by David Mallet, was shot on Februari 1984 in Jacob's Biscuit Factory in Lake, Dublin, Ireland.[2]
Chati (1984) | Ilipata nafasi |
---|---|
U.S. Billboard Hot 100 1 | 61 |
1 Remix.
“Bringin' On the Heartbreak” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Mariah Carey | |||||
B-side | "Miss You" | ||||
Muundo | CD single | ||||
Aina | Pop | ||||
Urefu | 4:30 | ||||
Studio | Island | ||||
Mtayarishaji | Mariah Carey, Randy Jackson | ||||
Mwenendo wa single za Mariah Carey | |||||
|
Mariah Carey alirudia wimbo huu kwa kushirikiana an Randy Jackson kwa ajili ya albamu yake ya 12, iliyojulikana kama Charmbracelet . Carey anasema kuwa,alikuwa akiupenda wimbo huu tangu akiwa mdogo na hivyo na alikuwa akifikiria kuurudia tangu akiwa mdogo.[3]. Wimbo huu ulitengenezwa katika miondoko ya rock na Rocan akipiga jitaa. .[4]
Kama ilivyokuiwa kwa wimbo wa "Boy (I Need You)," iliyokuwa single ya pili kutoka katika albamu hii, wimbo wa, "Bringin' On the Heartbreak" pia ulishindwa kuingia katika chati hiyo ya mziki ya Marekani maarufu kwa jina la Billboard Hot 100, [5] Na pia ukishindwa kuingia katika chati ya Bubbling Under Hot 100 Singles
Ulishika nafasi 40, nchini Switzeland lakini ukashindwa pia kuingia katika nyimbo 40 bora za nchini Austria.Kwa pamoja Junior Vasquez, Mike Rizzo na Ruanne walitengeneza wimbo huu kwa mara ya pili kama Rimiksi, na kutangazwa katika nchi mbalimbali na hatimaye ulifanikiwa kufika katika nafasi tano katika chati ya Marekani ya Billboard ya Hot Dance Club Play.[5][6] Video ya single hii, inafanana na filamu ya mwaka 1979 ya The Rose alipokuiwa kijaribu kutafuta furaha katika masuala ya muziki. Video hii ilitengenezwa tarehe 8 Machi 2003 na kuongozwa na Sanaa Hamri .[7][8]
Alipoulizwa kuhusu toleo la Carey, Joe Elliott aliliambia gazeti la Las Vegas Sun, kuwa, nadhani amefanya kazi nzuri, ameweza kupangilia vizuri lakini si kama toleo lile toleo la rok Akiongelea kuhusu sauti ya Carey mwishoni mwa wimbo huu amesema sauti ya Carey inaweza kufanana na ile ya Tom Waits. [9] A number of reviews were positive,[10] Rolling Stone akiuelezea wimbo huu, anaema unamvuto wa ajabu. "[11] Phil Collen praised Carey's cover as a "genuine version of our song"[12] and defended it from Def Leppard's more critical fans: "The fans really get it wrong sometimes. She's on our side and it's an honour she's done it. Really, that's the only way we're getting played."[13] Carey's version was number 24 on VH1's "Least Metal Moments"[14]—in a segment subtitled "Bringin' On the Headache"—because many metal fans and musicians didn't like the remake. Bill Lamb of About.com ranked it at number 2 on his list of "Top 5 R&B/Pop Crossover Cover Songs" and said Carey's version is "superior to the original."[15]
European CD single
European CD maxi-single
Chati (2003) | Ilipata nafasi |
---|---|
Austrian Singles Chart[16] | 55 |
Belgian Wallonia Singles Chart[17] | 40 |
Swiss Singles Chart[18] | 28 |
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[19] | 5 |