David French Boyd | |
President of Auburn University
| |
Muda wa Utawala 1883 – 1884 | |
mtangulizi | William Leroy Broun |
---|---|
aliyemfuata | William Leroy Broun |
President of the Louisiana State University
| |
Muda wa Utawala 1877 – 1880 | |
mtangulizi | First LSU president |
Muda wa Utawala 1884 – 1886 | |
aliyemfuata | Thomas Duckett Boyd (interim) |
tarehe ya kuzaliwa | Wytheville, Wythe County Virginia, USA | Oktoba 5, 1834
tarehe ya kufa | 27 Mei 1899 (umri 64) Baton Rouge, Louisiana |
mahali pa kuzikiwa | Magnolia Cemetery huko Baton Rouge |
mahusiano | Thomas Duckett Boyd (brother) |
Military service | |
Allegiance | Confederate States of America |
Service/branch | Jeshi |
Rank | Major |
Unit | 9th Louisiana Infantry |
Battles/wars | American Civil War |
David French Boyd (5 Oktoba 1834 – 27 Mei 1899) alikuwa mwalimu na msimamizi wa elimu uko Marekani.
Alikuwa mkuu wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Louisiana (LSU), ambako alifundisha somo la hisabati na falsafa ya maadili. Pia aliwahi kuwa rais kwa muda mfupi wa Chuo cha Kilimo na Ufundi cha Alabama (sasa Chuo Kikuu cha Auburn).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David French Boyd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |