Ebele Ofunneamaka Okeke | |
Amezaliwa | 14 Juni 1948 jimbo la Anambra |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mhandisi wa Umma |
Ebele Ofunneamaka Okeke, (alizaliwa Nnewi, jimbo la Anambra, 14 Juni 1948[1]) ni Mhandisi wa Umma nchini Nigeria na Mkuu wa zamani wa Huduma ya Uhandisi Nigeria. [2][3]
Alipata elimu yake ya sekondari katika shule ya wasichana ya Archdeacon Crowther Memorial iliyoko katika mji wa Elelenwo, huko Port Harcourt, ambapo alipewa vyeti vya Shule ya Afrika Magharibi (WASC) mwaka 1965. [4] Aliendelea na elimu ya Chuo Kikuu cha Southampton, huko England ambapo alipata Shahada ya Sayansi (B.Sc.) katika Uhandisi wa Umma mwaka 1971. [5] Ana Diploma ya Uzamili (PGD) katika maji ya chini kutoka katika Chuo Kikuu cha Loughborough. [6] Pia alipata Digrii ya Uzamili (PGD) katika Hydrology na Hydrogeology kutoka katika Chuo Kikuu cha London mwaka 1979. Kisha alirudi Nigeria kupata Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara (MBA) kutoka katika Chuo Kikuu cha Nigeria, katika mji wa Nsukka mwaka 2001.[7][8] Mnamo Machi mwaka 2007, alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Federal Ministry of Water Resources na baada ya miezi kadhaaa ya huduma akawa Mkuu wa Utumishi wa Umma wa Nigeria, na kumfanya kuwa mwanamke wa kwanza kuhudumu katika nafasi hiyo katika historia ya Nigeria.[9] Alishikilia wadhifa huu hadi mwaka 2008, wakati alipostaafu katika Utumishi wa Umma wa Nigeria.[10] Yeye ni mmoja wa Wahandisi wa Umma nchini Nigeria ambapo wamechangia sehemu kubwa katika maendeleo ya Uhandisi wa Umma nchini Nigeria.[11] Alianzisha chapisho la Abuja la Association of Professional Women Engineers of Nigeria (APWEN) Ilihifadhiwa 23 Novemba 2020 kwenye Wayback Machine..[12] Alikuwa mmoja wa wajumbe sita waliowakilisha watumishi wa umma waliostaafu katika Mkutano wa Kitaifa mwaka 2014 nchini Nigeria.[13][14]
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)
{{cite web}}
: |author=
has generic name (help)
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help) Ilihifadhiwa 7 Desemba 2014 kwenye Wayback Machine.
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)