Joselyn Dumas | |
Jocelyn Dumas katika Tuzo za Uchaguzi wa Afrika za 2014 | |
Amezaliwa | 31 Agosti 1980 Ghana |
---|---|
Nchi | Ghana |
Kazi yake | Mwigizaji |
Joselyn Dumas (alizaliwa 31 Agosti 1980) [1] ni mtangazaji na mwigizaji wa Ghana.
Mwaka 2014 aliigiza kwenye filamu ya A Northern Affair, jukumu ambalo lilimpatia tuzo iliyoitwa Ghana Movie Award na Africa Movie Academy Award na kuteuliwa kwa Africa Movie Tuzo ya Chuo cha Mwigizaji Bora katika Jukumu La Kuongoza.[2]
Dumas alizaliwa Ghana na maisha ya utoto wake aliishi huko Accra, Ghana. Alipata elimu yake ya msingi katika Shule ya Nyota ya Asubuhi "Morning Star School" [3] na aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Archbishop Porter Girls High School[4] Ambapo alikua Mkuu wa Burudani. Joselyn aliendeleza masomo yake huko Marekani ambapo alisomea kupata Shahada ya Sheria na Utawala.
Joselyn Dumas alikuwa akifanya kazi za kujitolea za kisheria hadi alipohamia Ghana kufuata ndoto zake za kuwa mtu wa Televisheni. Alicheza kwanza kwenye Televisheni kama mwenyeji wa "Rhythmz" ya Charter House, onyesho la burudani, ambalo lilimfanya ahojiane na watu mashuhuri wengi.[5] Alikuwa akiwindwa na Mtandao wa Televisheni uliojulikana kama defunct TV Network, ViaSat 1 ili kuandaa onyesho lao la kwanza lililozungumziwa kwenye kipindi cha "The One Show",[6] ambayo kilirushwa hewani kutoka 2010 hadi 2014. Alikuwa mwenyeji wa kipindi cha mazungumzo ya Runinga At Home with Joselyn Dumas Ambayo kilirushwa Afrika nzima na sehemu za Ulaya. [7]
Mwaka | Tuzo | Kipengele | Matokeo | |||
---|---|---|---|---|---|---|
2011 | Ghana Movie Awards (GMA) | Best Actress in a Leading Role | ||||
2012 | Radio and Television Personality Awards (RTP) | Best Entertainment Host of the Year | ||||
2013 | Radio and Television Personality Awards (RTP) |
|
2013 | 4syte TV | Hottest Ghanaian Celebrity | |
2013 | Ghana Movie Awards (GMA) | Best Supporting Actress | ||||
2013 | City People Entertainment Awards |
| ||||
2014 | Africa Movie Academy Awards (AMAA) | Best Actress in a Leading Role | ||||
2014 | Africa Magic Viewers' Choice Awards (AMVCA) | Best Actress in a Leading Role | ||||
2014 | All Africa Media Networks | Outstanding Personality in Creative Entrepreneurship | ||||
2014 | Ghana Movie Awards | Best Actress in a Lead Role | ||||
2015 | Africa Magic Viewers' Choice Awards (AMVCA) | Best Actress in a Drama | ||||
2015 | GN Bank Awards | Best Actress | ||||
2015 | Blog Ghana Awards | Best Instagram Page | ||||
2016 | Golden Movie Awardsn | Best Actress,TV Series Shampaign | ||||
2016 | Ghana Make-Up Awards | Most Glamorous Celebrity | ||||
2016 | Shortlisted]] | Among Africas Top 3 women in Entertainment | ||||
2018 | IARA UK | Best Actress |
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joselyn Dumas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |