Mama Said Knock You Out

Mama Said Knock You Out
Mama Said Knock You Out Cover
Studio album ya LL Cool J
Imetolewa 27 Agosti 1990
Imerekodiwa 1989-1990
Aina Hip hop
Urefu 61:36
Lebo Def Jam/Columbia/CBS Records
CK 46888
Mtayarishaji Marley Marl
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za LL Cool J
Walking with a Panther
(1989)
Mama Said Knock You Out
(1990)
14 Shots to the Dome
(1993)
Single za kutoka katika albamu ya Mama Said Knock You Out
  1. "To da Break of Dawn"
    Imetolewa: 17 Juni 1990
  2. "The Boomin' System"
    Imetolewa: 2 Agosti 1990
  3. "Around the Way Girl"
    Imetolewa: 8 Novemba 1990
  4. "Mama Said Knock You Out"
    Imetolewa: 26 Machi 1991
  5. "6 Minutes of Pleasure"
    Imetolewa: 13 Juni 1991


Mama Said Knock You Out ni jina la kutaja albamu ya nne ya msanii wa hip hop LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1990, baada ya kufanya vibaya sana katika albamu iliyopita ya Walking with a Panther mnamo mwaka wa 1989.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo zote zimetayarishwa na Marley Marl na kusaidiwa na LL Cool J kasoro ile ya "Jingling Baby (Remixed but Still Jingling)", ambayo ilitayarishwa na LL Cool J na kupigwa remixi yake na Marley Marl.

  1. "The Boomin' System"
  2. "Around The Way Girl"
  3. "Eat 'em Up, L Chill"
  4. "Mr. Good Bar"
  5. "Murdergram"
  6. "Cheesy Rat Blues"
  7. "Farmers Blvd. (Our Anthem)"
  8. "Mama Said Knock You Out"
  9. "Milky Cereal"
  10. "Jingling Baby (Remixed but Still Jingling)"
  11. "To da Break of Dawn" (dis of MC Hammer, Ice T & Kool Moe Dee)
  12. "6 Minutes of Pleasure"
  13. "Illegal Search'"
  14. "The Power of God"
  1. "Mama Said Knock You Out (Steering Mix)"
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mama Said Knock You Out kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.