Mr. Smith | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Studio album ya LL Cool J | |||||||||||
Imetolewa | 21 Novemba 1995 | ||||||||||
Imerekodiwa | 1994-1995 | ||||||||||
Aina | Hip hop | ||||||||||
Urefu | 58:25 | ||||||||||
Lebo | Def Jam Recordings | ||||||||||
Mtayarishaji | Rashad Smith Chyskillz Chad Eliott Trackmasters Easy Mo Bee |
||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
Wendo wa albamu za LL Cool J | |||||||||||
|
Mr. Smith ni jina la kutaja albamu ya sita ya rapa LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1995. Baada ya kutofanya vizuri katika albamu iliyopita ya 14 Shots to the Dome, lakini hapa imekuwa kama msanii aliyerudi kundini, kwa kuweza kwenda kwenye Platinum 2x na kuingiza vibao vikali vitatu kwenye 10 bora, "Hey Lover", "Doin' It", na "Loungin". Albamu hii ipo tofauti kabisa na matoleo yake ya awali, ambayo yenyewe yamefokasi sana katika hardcore rap, katika albamu hii LL anaonekana kuzingatia zaidi kwenye maballad ambayo hadi sasa anatamba nayo. Albamu hii ilikuwa ya kwanza katika albamu zake kuwa na ujumbe wa Parental Advisory.
Mwaka | Nyimbo | Nafasi ya chati | |||
---|---|---|---|---|---|
Billboard Hot 100 | Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | Hot Rap Singles | |||
1995 | "I Shot Ya" | - | #55 | - | |
"Hey Lover" | #3 | #3 | #1 | ||
1996 | "Doin' It" | #9 | #7 | #2 | |
"Loungin | #3 | #4 | #1 |
Makala hii kuhusu albamu za hip hop za miaka ya 1990 bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |