“Pac's Life” | |||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Single ya 2Pac akishirikiana na Ashanti, T.I. kutoka katika albamu ya Pac's Life | |||||||||||||||||||||||
Imetolewa | 21 Desemba 2006 5 Februari 2007 (UK) | ||||||||||||||||||||||
Muundo | CD, vinyl | ||||||||||||||||||||||
Imerekodiwa | 1996 | ||||||||||||||||||||||
Aina | Hip hop | ||||||||||||||||||||||
Urefu | 3:37 | ||||||||||||||||||||||
Studio | Amaru/Interscope | ||||||||||||||||||||||
Mtunzi | Tupac Shakur, Clifford Harris, Ashanti | ||||||||||||||||||||||
Mtayarishaji | L. T. Hutton | ||||||||||||||||||||||
Mwenendo wa single za 2Pac akishirikiana na Ashanti, T.I. | |||||||||||||||||||||||
|
"Pac's Life" ni single iliyotolewa na kuimbwa na Tupac Shakur kutoka katika albamu iliyotolewa baada ya kufa kwake, Pac's Life. Wimbo umetayarishwa na L. T. Hutton, imejumlisha waimbaji wageni kama vile wa R&B Ashanti na rapa T.I. Mstari wa pili wa 2Pac ulirudiwa tena kutoka katika wimbo wa "This Life I Lead". Wimbo huo ulitolewa ukiwa kama moja ya sehemu ya nyimbo za kwenye albamu ya Pac's Life mnamo 2006. T.I. alisema kwenye mahojiano kwamba kufanya kazi katika wimbo wa Tupac ilikuwa kama heshima kubwa kwangu, kwa kumpenda wakati anakua. Wimbo ulikuwa kibao kikali kwenye 40 bora za nchini Ireland, Uingereza, na Ujerumani.
Wimbo ulifikia #4 kwenye chati za Billboard Bubbling Under R&B/Hip-Hop Singles mnamo 2 Desemba 2006 toleo la jarida la Billboard.
Kwenye MTV Australia, "Pac's Life" ulifikia kilele cha nafasi ya kwanza kwenye "Hip Hop Countdown", kwa kushinda matole mapya kutoka kwa Jay-Z, Eminem na 50 Cent, na Nas.
UK CD
Makala hii kuhusu wimbo wa hip hop bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |